VPL MATCHDAY

DC8A2780(1)

KIKOSI cha Mbeya City fc  kitakachokuwa na jukumu la kusaka pointi tatu dhidi ya African Lyon leo kwenye mchezo wa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara unaochezwa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Kocha kinnah Phiri amesema huu ni mchezo muhimu kwa Mbeya City hasa baada ya matokeo mabaya kwenye mchezo uliopita dhidi ya Ndanda Fc ambapo ilipoteza kwa bao 2-1.

  NI mchezo muhimu kwa sababu tumejindaa kushinda ili tupate pointi tatu hasa baada ya matokeo mabaya kwenye mchezo uliopita,tutacheza kwa nguvu na kila  hatua kuhakikisha tunashinda.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *