TUMEPOTEZA MCHEZO

1200X600 SE

Dakika 90 zimemalizika leo hii tarehe 14 Januari 2018 baada ya mchezo wetu dhidi ya Tanzania Prisons katika dimba la Sokoine. Mchezo huu nambari 100 ulitukutanisha na Prisons kwa mara ya tisa uwanjani, na matokeo yalikua Prisons 3 – 2 Mbeya City, magoli ya Mbeya City yakifungwa na John Kabanda dakika ya 30, na Babu Ally dakika ya 90.

Baada ya mchezo huu, tunajiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya Lipuli FC kutoka Iringa, mchezo huu utachezwa kaitka dimba la Sokoine 19/01/2018.

Idara ya Habari
MCCFC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *