TUMEPOTEZA DHIDI YA STAND UNITED

1200X600

Maamuzi yaliyo na shaka ya mwamuzi wa pembeni (Line 2) Grace Wamara yamesababisha klabu ya Mbeya City FC kupoteza mchezo wake wa kwanza wa ugenini dhidi ya Stand United; mchezo nambari 31 wa ligi kuu soka Tanzania bara uliomalizika katika uwanja wa Kambarage kwa magoli 2-1.

Shah Mjanja
MCCFC

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *