Taarifa ya Usajili – Dirisha dogo

1200X600 SE

TAARIFA YA USAJILI WA DIRISHA DOGO

Klabu ya Mbeya City katika usajili wa dirisha dogo imeongeza mchezaji mpya mmoja tu katika nafasi ya ushambuliaji na imewaachia wachezaji 2 kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kumalizika kwa muda wa mkataba.

 

Wachezaji waliotoka katika Kikosi:

  1. Emmanuel Kakuti(Duchu)
  2. Mrisho Ngassa(Kumalizika kwa mkataba)

 

Wachezaji walioingia:

  1. George Mpole (Majimaji)
  2. Abubakary Shaban(U20 amerejea kutoka Mkopo)

 

Timu itaendelea kuwatumia wachezaji waliopo kwenye kikosi hivi sasa ikiwemo pamoja kuendelea kuwatumia wachezaji wake wa kikosi cha pili.

 

Shah Mjanja

AFISA HABARI

MCCFC

0717282217

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *