Sare dhidi ya Stand United

1200X600 SE

Dakika 90 za mchezo wetu dhidi ya Stand United kutoka Shinyanga zimemalizika kwa matokeo ya bila kufungana, mchezo wa ligi kuu soka raundi ya 19. City imekusanya jumla ya pointi 20 na kupanda mpaka nafasi ya 8 (kabla ya michezo yote ya raundi ya 19 kukamilika).

Mchezo ujao City inakutana na Mwadui kutoka Shinyanga.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *