QUALITY MEN T-SHIRT

11
IMG-20150904-WA0007

QUALITY MEN T-SHIRT

$10.00

For men only, made for a good level compatible with the value of your purchases

 

Kwa wanaume tu, imetengenezwa kwa kiwango kizuri kinachoendana na thamani ya manunuzi yako.

Category:

Product Description

Shabiki wa kweli ni yule anayeichangia timu yake kupitia njia mbalimbali, hii ni bidhaa nzuri kwako  shabiki  wa mccfc itakayokupa  furaha ukiwa umeivaa kutokana na ubora wake na pia utaonyesha wengine kuwa wewe ni sehemu ya mafanikio ya timu yako.

Bidhaa hii pia inapatikana maduka kadhaa ya vifaa vya michezo/ kuwa makini na ubora kwenye maduka ya mtaani.

Reviews

There are no reviews yet.

Add your review for QUALITY MEN T-SHIRT