Jezi ya Shabiki ya Kike

1200X600 SE

Jezi ya Shabiki ya Kike

$12.50

Jezi ya dhambarau ya msimu huu (2017/18) kwa ajili ya mashabiki wa kike tu. Ina tofauti kidogo na jezi ya kawaida ya mashabiki, jezi hii imeongezewa nakshi za kike pamoja na muonekano unaofaa zaidi katika mwili wa kike. Inapatikana madukani kwa 15,000/-, hapa katika duka la mtandao inauzwa 25,000/- na inaweza kutumwa popote nchini Tanzania.

Piga namba 0768-470-486 ili uweze kununua.

Categories: ,

Product Description

Inapatikana katika size M, L, XL, 2XL, 3XL.
Jezi ya dhambarau ya msimu huu (2017/18) kwa ajili ya mashabiki wa kike. Inapatikana madukani kwa 15,000/-, hapa katika duka la mtandao inauzwa 25,000/- na inaweza kutumwa popote nchini Tanzania.

Piga namba 0768-470-486 ili uweze kununua.

Reviews

There are no reviews yet.

Add your review for Jezi ya Shabiki ya Kike