POINTI 1 CCM KIRUMBA

1200X600

Mchezo dhidi ya Mbao FC hapa CCM Kirumba umemalizika kwa sare ya magoli mawili kwa mawili.

Magoli ya Mbeya City FC yakifungwa na Eliud Ambokile dakika ya 55 na Omary Ramadhani dakika ya 63.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *