NANGWANDA SIJAONA

DSC_0062

Klabu yetu pendwa inashuka dimbani leo hii katika mchezo wa ligi nambari 134 utakaochezwa katika uwanja wa Nangwanda Sijaona hapa Mtwara. Kikosi chetu kinaingia uwanjani baada ya kushinda mchezo uliopita dhidi ya Majimaji. Huu utakua mchezo w aduru la pili raundi ya 17, tukiwa nafasi ya 8 katika msimamo wa Ligi Kuu soka Tanzania bara.

Kikosi kinachoanza leo dhidi ya Ndanda.

Owen Chaima
John Kabanda
Hassan Mwasapili
Ramadhani Malima
Erick Kyaruzi
Majaliwa Shabani
Medson Mwakatundu
Eliud Ambokile
Mohamed Samata
Frank Hamis
Victor Hangaya

Sub:
Fikirini Bakari
Mohamed Mkopi
Ally Lundenga
Rajab Isihaka
Idd Seleman
Babu Ally
Meshak Selema

Video: Tazama mazoezi ya wachezaji

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *