MBEYA CITY DERBY: KUMBUKUMBU

1200X600 SE

Jumapili hii klabu yako pendwa inashuka dimbani Sokoine katika mchezo wa ligi nambari 100 dhidi ya Tanzania Prisons. Mchezo huu ni moja ya michezo yenye kuvutia mashabiki wengi katika soka ndani na nje ya nchi. Hapa chini ni takwimu za matokeo dhidi yetu na Tanzania Prisons katika misimu 4 ya mechi za ligi Kuu Tanzania Bara.

2013/14:
Round 1 MCCFC 2 – 0 Prisons
Round 2 MCCFC 1 – 0 Prisons
2014/15:
Round 1 MCCFC 2 – 2 Prisons
Round 2 MCCFC 0 – 1 Prisons

2015/16:

Round 1 MCCFC 0 – 1 Prisons
Round 2 MCCFC 0 – 0 Prisons

2016/17

Round 1 MCCFC 0 – 0 Prisons
Round 2 MCCFC 0 – 2 Prisons

Mbeya City ameshinda michezo miwili dhidi ya Prisons, kufungwa michezo mitatu na sare 3.

Imetolewa na Idara ya Habari
11 Januari 2017

Video: Mazoezini Highland Camp Morogoro

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *