Mechi Na. 148 dhidi ya Stand United

MCC 15.02.18-1

Ligi kuu Tanzania bara itaendelea tena mwisho wa wiki hii, raundi hii ya 19 ikitukutanisha na Stand United kutoka Shinyanga. Mchezo wa awali dhidi ya Stand United huko Shinyanga ulimalizika kwa matokeo ya Stand Utd 2-1 Mbeya City.

City ilipoteza mchezo huo kutokana na makosa ya Muamuzi wa pili Bi. Grace Wamara kuruhusu goli ambalo alikua halali. Mwamuzi huyo wa pembeni alisimamishwa kuchezesha michezo ya ligi kuu kutokana na mapungufu aliyoonesha siku hiyo.

Video: Tazama mazoezi ya leo Alhamis 15.02.18.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *