Library

HUU NI MFULULIZI WA MATUKIO AMBAYO MCCFC KAMA TIMU IMEKUWA IKIYAFANYA  KWA JAMII IKIWA NI PAMOJA NA YALE AMBAYO YAMEKUWA YAKIFANYWA NA MASHABIKI KWA NIABA YA TIMU.

DSC_0095
Kocha Mkuu Juma Mwambusi akizungumza na mmoja wa wagonjwa kwenye Hospital ya mkoa wa Mbeya.
DSC_0217
Golikipa wa Mcc Fc, Hanington Kalyesubula, akitoa mkono wa pole kwa mgonjwa, hii ilikuwa ni kwenye wodi ya akina mama hospital ya mkoa wa Mbeya.
DSC_0260
Kocha Mwambusi, Juma Nyosso, Mwegane Yeya, kwenye hospital ya Mkoa Mbeya.
IMG-20150417-WA0019
Shabiki wa Mbeya City Fc , Farida Ngellah akitolewa damu, hii ilikuwa ni tukio la mashabiki wa kujitole damu kwenye kituo cha damu salama mkoa wa Mbeya.
IMG-20150417-WA0004
Mashabiki wa Mccfc kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuchangia damu,kwenye kituo cha damu salama mkoa wa Mbeya.
DSC_0174
Wachezaji wa Mbeya City fc , wakiwa kwenye ziara hospital ya mkoa wa Mbeya …hapa ilikuwa ni tukio la kutoa mkono wa pole kwa wagonjwa.

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *