Fans Zone

DSC_0074
Hakuna tabu ngoma zinapigwa tu…. shabiki wa MCCFC, Bandeke na Kaligo wakifanya yao…..
DSC_0068
Hapa ni katikati ya jiji la Tanga, Mashambi wa MCCFC walisafiri kutoka jijini Mbeya wakitamba barabarani muda kabla ya kuingia uwanjani kuisapoti timu yao ilipokuwa ikicheza na Coastal Union kwenye uwanja wa Mkwakwani.
IMG-20150417-WA0017
Masahbiki wa MCCFC wakipozi kwa picha ya pamoja, mara baada ya kumalizikia kwa zoezi la kuchangia damu kwenye hospitali ya wazazi ya META iliyopo jijini Mbeya…
IMG-20150417-WA0013
Shabiki wa MCCFC, Dada Suma, (aliyekaa) akichukuliwa vipomo kabla ya kutolewa damu kuchangia mpango wa damu salama, kwenye hospitali ya wazazi ya META jijini Mbeya…..

 

  • Christopher Milton Njobhera May 7, 2017 at 4:47 pm

    Chamsingi ni kuongeza ufundi zaid ili kupata matokeo mazuri. Kwani kwa muelekeo huu Tim ita poteza mashabiki. Na kushindwa kufikia Marengo tunayo yataka. Niwatakie ushindi kwa mechi zidi ya Yanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *