TOTO AFRICAN VS MBEYA CITY

VODACOM PREMIER LEAGUE 2016-2017

Loss

1

Mbeya City

Win

  • - 1 goal(s)
August 28, 2016 | 4:30 pm
CCM KIRUMBA

VODACOM PREMIER LEAGUE 2016-2017

Recap

IKICHEZA mchezo wa pili kwenye ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu huu, Mbeya  City Fc imefanikiwa kuvuna pointi zote tatu muhimu baada ya kuifunga Toto Afican ya Mwanza bao 1-0 kwenye mchezo  uliochezwa uwanja wa CCM Kirumba.

Haruna Shamte lifunga bao hilo mapema dakika ya 7 kwa mpira wa adhabu iliyotplewa baada ya Joseph Mahundi kuangushwa alipokuwa kijaribu kuwatoka waalinzi wa Toto African, hii ilikuwa ni baada ya mashambulizi mfululizo ambayo City iliyafanya kwenye lango la timu hiyo ya Mwanza tangu kipenga cha  kuanza mpira  kilipopulizwa.

Video

Details

Date Time Competition Season
August 28, 2016 4:30 pm VODACOM PREMIER LEAGUE 2016 - 2017

Venue

CCM KIRUMBA
CCM kirumba Road, Mwanza, Tanzania

Results

Team1st Half2nd HalfGoals
000
Mbeya City101
Position Goals Assists Yellow Cards Red Cards
 0000

Mbeya City

# Player Position Goals Assists Yellow Cards Red Cards
17.Sankhani MkandawileDefender0000
18.Owen ChaimaGoalkeeper0000
 Total 0000