Kagera Sugar vs Mbeya City

VODACOM PREMIER LEAGUE 2016-2017

Kagera Sugar

Draw

Mbeya City

Draw

August 21, 2016 | 4:30 pm
KAMBARAGE
vs

VODACOM PREMIER LEAGUE 2016-2017

Recap

ditram 1
Ditram Nchimbi, (mwenye mpira) akijaribu kuwatoka walinzi wa Kagera Sugar, kwenye mchezo wa jana wa Ufunguzi wa msimu kwa timu hizi uliochezwa Kambarage Stadium Shinyanga.

Ulikuwa ni mchezo wa nne mfululizo timu hizi kukutana kwenye mechi za ufunguzi wa msimu, safari hii ukichezwa kambarage  Stadium mjini Shinyanga  baada ya mihezo miwili ya awali katika misimu miwili tofauti kuchezwa kwenye uwanja wa Sokoine.

Kwenye mchezo wa jana  ni mchezaji mmoja  tu ambaye  amefanikiwa kuweka  rekodi ya kucheza  michezo yote minne  mfululizo akiwa bado anacheza kwenye kikosi cha kwanza cha Mbeya City Fc huyu ni mlinzi wa kutumainiwa Hasan Mwasapili anayecheza  upande wa kushoto.

Rekodi zingine  zinaonyesha kuwa katika kukutana huku mara nne mwanzoni mwa msimu City imeshinda mara 1, Kagera wakishinda mara 1 na mara mbili timu hizi zikiambulia sare, huku Kenny Ally, Ditram Nchimbi  wakiongoza kwa kadi za njano  kufuatia  jana wote wawili kupata kadi hizo kama ilivyokuwa msimu uliopita waliopata kwenye michezo  miwili ya msimu.

IMG-20160821-WA0043
Ditram Chimbi (katikati) akimtoka Juma Jabu wa Kagera Sugar.

 

 

 

Details

Date Time Competition Season
August 21, 2016 4:30 pm VODACOM PREMIER LEAGUE 2016 - 2017

Venue

KAMBARAGE
Maswa, Tanzania

Results

Team1st Half2nd HalfGoals
Kagera Sugar000
Mbeya City000

Kagera Sugar

Position Goals Assists Yellow Cards Red Cards
 0000

Mbeya City

# Player Position Goals Assists Yellow Cards Red Cards
17.Sankhani MkandawileDefender0000
18.Owen ChaimaGoalkeeper0000
 Total 0000

MARKETING MANAGER: – JOSEPH SEMU
MEDIA OFFICER: SHAH MJANJA